Baadhi ya sastaa hivi karibuni wamekuwa karibu na mashabiki wao kwa kuingia kwenye mitandao ya kijamii na kutaka kuulizwa maswali na wao kutoa majibu, sasa mwimbaji na muigizaji Gigy Money alitoa nafasi ya maswali kwa mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram na moja la swali kuu aliloulizwa ni lini ataolewa?

VIDEO: