Leo July 8, 2019 Kufuatia ajali iliyoua Watu saba wakiwemo wafanyakazi watano wa Azam Media Waziri Kigwangalla ameandika katika ukurasa wake wa Twitter

“Moyo wangu umeshtuka na unatoa machozi ya damu kupata taarifa za kushtua na kusikitisha za ajali ya wafanyakazi wa Azam Media iliyotokea maeneo ya Malendi, Singida na kuchukua maisha ya 7 kati ya 10 waliokuwepo. Tunahangaika kutafuta usafiri wa haraka wa majeruhi hao 3!” Kigwangalla