Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango kuchunguza matumizi ya shilingi Bilioni 15.3 zilizotolewa na serikali kwa ajili ya kughamia matumizi ya Mamlaka ya usafiri wa Reli Tanzania na Zambia (TAZARA).