Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) kuanza kutimua vumbi August 23 mwaka huu, wakati ule wa ngao ya hisani utapigwa August 17. Hizi ni mechi tatu za mwanzo kwa Simba SC.