Ratiba ya kuaga miili ya wafanyakazi watano wa Azam Media waliofariki hapo jana kwenye ajali ya agari wakielekea mkoani Geita.