DADA’KE Diamond, Esma Platnumz na jamaa anayedaiwa kuwa ndiye mtu wake kwa sasa mambo ni moto ambapo wawili hao picha zao zimekuwa zikitrendi vibaya kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram.  Kuanzia mwishoni mwa wiki iliyopita, picha hizo zinazomuonesha Esma akiwa na jamaa huyo ‘ziro distance’ zilisambaa kwenye Instagram ambapo baadhi ya warembo mtandaoni humo walimpongeza kwa kupata bwana harakaharaka lakini wengine walimponda kama kawaida yao.

“Jamani wanaume na wanawake wa harakaharaka mnawapataje jamani mnifundishe na mimi,” aliandika salha.abood. Mwingine aitwaye salma_ alhajir akaandika hivi: “Si wanasema Zarina mzee kwa Domo inakuwaje mama na dada kuchukua vibenten? Pu**familia nuksi.”