BASATA imesema haimtambui Amber Rutty kama msanii na hajasajiliwa kufanya shughuli za sanaa kama msanii binafsi au katika kikundi. Aidha, baraza hilo linalaani kufuatia kusambaa kwa picha zake za faragha, jambo ambalo ni kinyume na maadili.