Meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale amefunguka kuhusu maisha ya msanii aliyochini ya lebo ya WCB ambaye alishawahi kufanya kazi na lebo ya muziki ya Tip Top Rayvanny, ambaye amesema kuwa Rayvanny alikuwa anamsumbua sana kipindi bado hajatoka nma alikaa miaka minne mpaka kufahamika kwenye muziki.

Akiongea katika kipindi cha block 98 kinachoruka wasafi fm Tale alisema haya:-

VIDEO:


By Ally Juma.