Mfanyabiashara,  Azim Dewji amelazwa Muhimbili kitengo cha Taasisi ya Mifupa baada ya kuvunjika mfupa mmoja wa uti wa mgongo katika ajali ya gari aliyopata eneo la Kibiti akielekea Rufiji kwenye uwekaji wa jiwe la msingi la mradi kufua umeme Mto Rufiji.