AUNT Ezekiel amesema kwa sasa hana mpango wa kufunga ndoa na mpenzi wake mpya kwani anakula ujana kwanza.  Aunt ambaye anafanya poa kwenye ulimwengu wa filamu Bongo, amesema kwa sasa suala la kufunga ndoa halipi kipaumbele sababu maisha ya mke na mume ameshaishi na kufanikiwa kupata motto na Dansa, Moses Iyobo ‘Moze Iyobo’.

“Sifikirii ndoa kwa sasa, bado nakula ujana kwanza na mpenzi wangu Alfo mashabiki wanaosubiri ndoa yangu wanipe nafasi kidogo, acha nijiachie kidogo,” alisema Aunt.