Serikali ya Kenya imekosoa na kusema maudhui ya video ya Mbunge Jaguar sio msimamo wa serikali. Katika video hiyo, mbunge huyo aliwataka wafanyabiashara wa kigeni kuondoka ndani ya saa 24, la si hivyo, watawavamia, watawapiga na kuwafukuza nchini humo.