Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais MagufuliJ akiongoza kikao cha Maadili na Usalama cha chama kilichofanyika katika ofisi ndogo za Makao makuu ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar es salaam