Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mhandisi Mshauri wa kampuni ya Yoosin Engineering Mhandisi Suk-Joo Lee wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika mradi wa ujenzi wa daraja linalokatiza baharini na kuunganisha maeneo ya Aga Khan na Coco Beach Jijini Dar es Salaam. Daraja hilo limependekezwa kuitwa Tanzanite Bridge.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo ya ujenzi huo na Mhandisi Mshauri wa kampuni ya Yoosin Engineering Mhandisi Suk-Joo Lee
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipatiwa maelezo ya ujenzi huo na Mhandisi Mshauri wa kampuni ya Yoosin Engineering Mhandisi Suk-Joo Lee.