Jana June 13, 2019 Rais Dkt.Magufuli alimwandalia mgeni wake Felix Tshisekedi ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo   keki ya Birthday akimpongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchini Tanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam.


Rais Dkt.Magufuli akimtumbuiza  mgeni wake Rais Felix Tshisekedi akiwa na Wanamuziki Christian Bella, King Kikii na Christina Shusho  mara baada ya kumpa keki ya Birthday na kumpongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es salaam