Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpozi amelamba shavu nono kutoka GSM la Ubalozi na kufunguka kufurahishwa na nafasi hiyo.Mbali na hiyo msanii huyo wa bongo fleva amefunguka na kueleza juu ya picha aliyo post kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema kweli yule ni mtoto wake aliye zaa na mzungu na kuwa kwa sasa anajiandaa na taratibu za kufunga ndoa.Kuhusu afya yake, Dimpoz amesema kuwa anaendelea vizuri na hivi karibuni ametoka ku-check afya yake na kusema kuwa fununu za kuwa kazuiliowa kuimba sio kweli anauwezo wa kuimba