Raia wa Uganda, Dodoviko Ssenyonjo (89) amezikwa na lundo la magazeti aliyokuwa akisoma enzi za uhai wake, kama alivyotaka, kwa sababu hakuamini kama familia yake itaweza kuyahifadhi kama alivyofanya yeye.