Mkutano wa 7 wa Bodi za Maji za Mabonde 2019 kufanyika mkoani Kigoma mwezi Julai mwaka huu kwa lengo la kuwakutanisha wadau katika sekta ya maji.