Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika kitabu chenye majina na orodha ya Makampuni 17447 ambayo yalisajiliwa BRELA lakini yamekuwa yakifanya udanganyifu na ukwepaji wa kodi wakati akizungumza na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha ameshika kitabu chenye majina na orodha ya Makampuni 17447 ambayo yalisajiliwa BRELA lakini yamekuwa yakifanya udanganyifu na ukwepaji wa kodi wakati akizungumza na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha flash disk yenye majina na orodha ya Makampuni 17447 ambayo yalisajiliwa BRELA lakini yamekuwa yakifanya udanganyifu na ukwepaji wa kodi wakati akizungumza na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wakisimama wimbo wa Taifa ulipopigwa mwanzo wa mkutano wake na Wafanyabiashara Wakubwa kutokan katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Kikao chao na Rais katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.

Wafanyabiashara kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Kikao chao na Rais katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuanza kwa Kikao chao na Rais katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC wakiwa katika Kikao chao na Rais katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea wakati wa mkutano huo wa Rais na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akiongea wakati wa mkutano huo wa Rais na Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC katika Kikao kilichofanyika katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu orodha ya Makampuni 17447 ambayo yalisajiliwa BRELA lakini yamekuwa yakifanya udanganyifu na ukwepaji wa kodi.
Viongozi wa Sekta ya Kibenki wakipeana mikono na Rais baada ua kikao chao katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.

Wafanyabiashara Wakubwa kutoka katika Wilaya zote nchini pamoja na Wajumbe wa Baraza la Biashara la Taifa TNBC wakipeana mikono na Rais baada ua kikao chao katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.

Mawaziri waliohudhuria wakipeana mikono na Rais baada ua kikao hicho katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mawaziri waliohudhuria wakipeana mikono na Rais baada ua kikao hicho katika Ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA IKULU.