Makamu wa Rais, Samia Hassan,  jana  Juni 25, 2019,  alishiriki katika dua ya pamoja na familia ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Abdallah Mabodi alipokwenda nyumbani kwa Mabodi, Mikocheni jijini Dar es Salaam,  kumfariji kutokana na kifo cha mkewe Dkt. Badriya  Gurnah kilichotokea mwishoni mwa wiki iliyopita