Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mjane wa Baba wa Taifa,Mama Maria Nyerere,alipokwenda kumjulia hali leo,anakopatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsalimia na kumjuilia Hali mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere anaepatiwa matibabu jijini Dar Es Salaam.