Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Ofisa Habari wake, Dismas Ten, umetoa ushauri kwa Shirikisho la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) juu ya michuano ya KAGAME.