Msanii Diamond Platnumz anaendelea kutengeneza records katika muziki wa Bongo Fleva, kupitia platform tofauti za Muziki.

Hii ni mpya tena baada ya kuweka record ya video yake mpya ya wimbo uitwao Kanyaga kutazamwa Mara Milioni 1 kwa masaa 13 pekee katika mtandao wa YouTube .

Hii nakua Record Mpya Katika Muziki wa Bongo Fleva ndani ya Mtandao wa YouTube kwani mara ya mwisho record hiyo aliiweka yeye mwenyewe kupitia ngoma yake ya Hallelujah Iliyofikisha views Milioni ndani ya Masaa 15.