cloudsmediatz.blogspot.com

Homa Ya Dengue Tanzania: Jinsi Ya Kujikinga , Pamoja Nakujuwa Dalili Zake Za Maambukizi.



Homa ya dengue inaambukizwa na virusi vya mbu aina ya Aedes ambao ni weusi wenye madoadoa meupe yenye kung'aa.


Madaktari wanatahadharisha dawa zote zenye diclofenac kuwa si salama kwa afya ya mgonjwa wa dengue. Baadhi ya dawa hizo ambazo hupatikana kwa wingi Tanzania kwa mujibu wa Mganga Mkuu wa nchi hiyo Profesa Mohammed Kambi ni Ibuprofen, Brufen na Diclopar. 

Mara ya mwisho kwa ugonjwa huo kuripotiwa kuibuka nchini Tanzaia ilikuwa mwaka 2014 ambapo watu kadhaa walipoteza maisha. 


Maeneo ya Dar es Salaam ambayo yameathirika zaidi na ugonjwa huo ni Ilala, Kariakoo, Upanga, kisutu, Buguruni, Tabata, Mbezi, Ubungo, Kinondoni, Msasani na Masaki.

Homa ya dengue inaambukizwa na virusi vya mbu aina ya Aedes ambao ni weusi wenye madoadoa meupe yenye kung'aa. Dalili za ugonjwa huo huanza kujitokeza siku tatu mpaka 14 toka mtu alipoambukizwa.

Dalili za homa ya dengue

  • Homa ya ghafla
  • Kuumwa kichwa
  • Uchovu
  • Maumivu ya maungo na misuli
  • Kichefu chefu na kutapika
  • Maumivu ya macho
  • Muwasho na vipele vidogo vidogo
  •  Kupungua kwa Kiwango Cha Mkojo
  •  Uchache au hakuna machozi
  •  Kinywa Ki kavu au midomo
         
         

  •           

Namna ya kujikinga

  • Kuangamiza mazalia ya mbu
  • Kulala kwenye chandarua chenye dawa
  • Kuvaa nguo ndefu

Transmission

The Aedes aegypti mosquito is the primary vector of dengue. The virus is transmitted to humans through the bites of infected female mosquitoes. After virus incubation for 4–10 days, an infected mosquito is capable of transmitting the virus for the rest of its life. Infected symptomatic or asymptomatic humans are the main carriers and multipliers of the virus, serving as a source of the virus for uninfected mosquitoes. Patients who are already infected with the dengue virus can transmit the infection (for 4–5 days; maximum 12) via Aedes mosquitoes after their first symptoms appear.
The Aedes aegypti mosquito lives in urban habitats and breeds mostly in man-made containers. Unlike other mosquitoes Ae. aegypti is a day-time feeder; its peak biting periods are early in the morning and in the evening before dusk. Female Ae. aegypti bites multiple people during each feeding period. Aedes eggs can remain dry for over a year in their breeding habitat and hatch when in contact with water.
Aedes albopictus, a secondary dengue vector in Asia, has spread to North America and more than 25 countries in the European Region, largely due to the international trade in used tyres (a breeding habitat) and other goods (e.g. lucky bamboo). Ae. albopictus is highly adaptive and, therefore, can survive in cooler temperate regions of Europe. Its spread is due to its tolerance to temperatures below freezing, hibernation, and ability to shelter in microhabitats.


Treatment

No specific treatment for dengue fever exists. Your doctor may recommend that you drink plenty of fluids to avoid dehydration from vomiting and a high fever.