Haji Manara Awachana Yanga, Asema Simba Ndio Imewapeleka CAF Champions League
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kuhusiana na kutoka kwa nafasi nne kwa timu za Tanzania kushiriki mashindano ya kimataifa Nafasi hizo zimetolewa na Shirikisho la Soka Afrika CAF