Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameendelea kuishangaza dunia kwa kuendelea kuweka rekodi mbalimbali kwenye muziki wa BongoFleva kwa kuweka rekodi nyingine kupitia wimbo wake wa Inama aliyomshirikisha msanii kutoka DR Congo FALLY IPUPA.

Mbali na kufikisha watazamaji milioni moja kwa masaa 16 tu lakini pia aliwahi kufikisha watazamaji kama hao kupitia wimbo wake wa Halleluya aliowashirikisha Morgan Heritage kutoka Jamaic kwa masaa 15 tu.

Lakini pia msanii aliyemshirikisha Fally Ipupa alitia neno kwenye video ambayo Diamond aliirekodi akiwa na mpenzi wake Tanasha wakicheza wimbo huo ambapo ali-Comment chini.

Fally aliandika hivi:-