Msanii wa muziki nchini Marekani, Chris Brown Alfajiri ya kuamkia leo Ijumaa ya Juni 28, 2019 ameachia kwa kushtukiza album yake mpya ya INDIGO yenye nyimbo 32.Album hiyo inakuwa ni ya 9 tangu aanze kuimba muziki, Na ameachia kwenye mitandao yote mikubwa duniani ikiwemo YouTube.

Hii huenda ikawa ni habari njema kwa mashabiki wake Watanzania, Ambao usiku wa jana timu yao ya Taifa, Taifa Stars imepoteza dhidi ya Kenya kwenye michuano ya Afcon 2019