Beki kisiki wa klabu ya Real Madrid ambaye kwa sasa anaitumikia Real Sociadad kwa mkopo, Theo Hernandez ameonekana nchini Tanzania akiwa na mpenzi wake ambaye jina halijafahamika.

Theo Hernandez ameonekana akiwa na mpenzi wake katika moja ya mbuga za wanyama nchini katika kipindi hiki ambacho msimu wa ligi nyingi ukiwa umekwisha.

Beki huyo mwenye mataifa mawili Ufaransa na Hispania akiwa na umri wa miaka 21, hapo mwaka jana alijiunga kwa mkopo wa msimu wa mwaka 2018/19 ndani ya klabu ya Theo Hernandez.