Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020 bungeni jijini Dodoma leo Mei 28, 2019.Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu akisistiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuhakikisha kuwa wananchi wote wanafikiwa na huduma ya umeme .
Mbunge wa Muleba Kusini Mhe. Charles Mwijage akichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2019/2020 leo Bungeni Jijini Dodoma.
Sehemu ya Wakuu wa Taasisi, Wenyeviti wa Bodi , Watendaji na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo wakifuatilia mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2019/2020 Leo Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt. Hamis Mwinyimvua akisisitiza jambo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Amos Maganga nje ya viwanja vya Bunge leo Jijini Dodoma.