Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Finland nchini, Mhe. Pekka Hukka kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Finland nchini, Mhe. Pekka Hukka, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Switzerland nchini, Mhe. Florence Tinguely Mattli kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Switzerland nchini, Mhe. Florence Tinguely Mattli, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Mei 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)