Timu ya Sevilla FC leo wamefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Timu ya Simba SC hapo kesho May 23, 2019 mchezo utakaopigwa majira ya Saa 1 usiku.