Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewaonya wote wanaotumia vibaya nembo ya TFF kutangaza gharama za hoteli na kusafirisa Watanzania kwenda Misri kwenye AFCON.