Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) Mhe. Dkt. Akinwumi Adesina apongeza ukuaji mzuri wa uchumi wa Tanzania wa wastani wa asilimia 7 kwa mwaka.