Tanzania na Namibia Zatiliana Saini Tamko la Pamoja la Mashirikiano Katika Masuala Mbalimbali, makubaliano hayo yalitiwa saini na Profesa Palamagamba John Kabudi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki pamoja na Mhe. Netumbo Nandi .