Tani 16 za mifuko ya plastiki zakusanywa Dar
Tani 16 za mifuko ya plastiki zikiwa zimekusanywa katika ghala la Mzimuni Kinondoni, Dar es Salaam. Kwa wastani, mfuko mmoja wa plastiki una uzito wa gramu 5.5, hivyo tani 16 ni takribani mifuko ya plastiki milioni 3. Zuio la matumizi ya mfuko hiyo linaanza rasmi Juni 1, 2019.