Tanasha Aitupilia Mbali WCB "Sina Mpango Nao Kabisa"

Mpenzi Diamond Platnumz, Tanasha ameeleza kama ana mpango wa kujiunga na lebo ya WCB.
Tanasha amesema hana mpango wakujiunga na lebo hiyo baada ya kuachia wimbo wake mpya ‘Radio’.

Mrembo huyo kutoka Kenya ambaye ameonesha kuingia rasmi kwenye tasnia ya muziki baada ya wimbo wake kupokewa vizuri na mashabiki