Msanii wa muziki wa bongo Fleva kutoka lebo ya muziki ya WCB Ryavanny wakati wa tukio la kugawa mafuta bure kwa madereva Bajaj na Pikipiki amefunguka kupitia Bongo 5 na kueleza jinsi alivyokutana na Alikiba na Ommy Dimpoz kwenye ndege na kusalimiana nao.