RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba Maji na Nishati, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg Ali Khalil Mirza, wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati Zanzibar, wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai 2019 hadi Marchi 2019, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar,kushoto Katibu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Ardhi Nyumba,Maji na Nishati Zanzibar Mhe Salama Aboud Talib. (Picha na Ikulu)
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Ndg. Ali Khalil Mirza, akisoma ripoti ya Utekelezaji ya Mpango Kazi ya Wizara yake wakati wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo 13/5/2019.
MAOFISA wa Idara za Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
BAADHI ya Watendaji wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
KATIBU Mtendaji Kamisheni ya Ardhi Zanzibar Ndg. Ahmed Abdraman Rashid akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
MKURUGENZI wa Ardhi Zanzibar Ndg Said Salum Ufuzo, akichangia wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
MAOFISA wa Idara za Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.