Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi na mwenyeji wake Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimweleza Mwenyeji wake Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob alichokiandika kwenye kitabu cha kumbukumbu kwa Lugha ya Kiswahili Katika kuhakikisha Kiswahili kinatangazwa kimataifa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Jijini Windhoek Nchini Namibia Mei 27, 2019