RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifuatilia maelezo ya Utekelezaji wa Mpango Kazi waWizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kipindi cha Mwezi Julai 2018 hadi March 2019, ikisomwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, kushoto, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo.24-5-2019.
MAOFISA wa Idara mbalimbali za Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo ya Kibweni Zanzibar, 24-5-2019
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Zanzibar Ndugu Adila Hilal Vuai,akizungumza wakati mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpangio Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
KATIBU wa Rais wa Zanzibar Ndg. Haroub Shaib akizchangia wakati wa hafla ya mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi Wizara ya Nchi Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwa kipindi cha mwezi Juali 2018 hadi March 2019, uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
KATIBU Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Maulid, akiwasilisha Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo.24-5-2019.
KATIBU Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadi March 2019, uliofanyika kjatika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, kwa kipindi cha mwezi Julai 2018 hadu March 2019,uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar leo.24-5-2019.
(Picha na Ikulu)