RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar , wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kwa Kipindi cha Julai 2018 -Marchi 2019.(Picha na Ikulu)
 KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Ali Abdalla akiwasilisha Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kuazi Julai 2019 hadi Marchi 2019, uliofanyika katika ukumbi wa mkutano Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.kulia Mshauri wa Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Mohammed Jidawi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.
 VIONGOZI wa Wizara ya Afya Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ikulu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kwa kipindi cha Julai 2018 hadi Marchi 2019, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.(Picha na Ikulu)
 MKURUGENZI Mkuu Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dr.Dr. Mayasa Salum Ally akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mipango Kazi Wizara ya Afya uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
 MKURUGENZI Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dr. Fadhil Mohammed akichangia wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar.wakati wa mkutano huo.
 MKURUGENZI wa Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar Dr.Zahrani Ali Hamad, akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpongo Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar. uliofanyika katika ukumbi wa mkutano Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
 NAIBU Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar Mhe. Harusi Said Suleiman akizungumza wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar