Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu waliyojadiliana baina ya Serikali za nchi zote mbili.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha na mwenyeji wake Rais wa Zimbabwe Mhe.Emmerson Mnangagwa pamoja na waandishi wa habari wa Zimbabwe na Tanzania mara baada ya kuzungumza nao Ikulu ya Harare Nchini Zimbabwe. Picha na Ikulu.