Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt. John Pom be Magufuli akimuapisha Mhe. Juma Zuberi Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi Ikulu jijini Dar es Salaam leo Mei 16, 2019.
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Zuberi Homera akila kiapo cha Uadilifu Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.