Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Vietnam hapa nchini Mhe. Nguyen Doanh (kushoto), mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kitengo cha mawasiliano serikalini wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Emmanuel Buhohela (katikati), wa kwanza kulia ni Katibu wa Waziri Bw. Magabilo Murobi na Afisa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Luangisha. E.F.L wakifuatilia mazungumzo kati ya Prof. Palamagamba John Kabudi na Balozi Doanh (hawapo pichani)
Mazungumzo yakiendelea
Prof. Palamagamba John Kabudi na Balozi Doanh wakiwa katika picha ya pamoja.