Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC Tanzania Mohammed Dewji jana alikutana na wachezaji pamoja na benchi la ufundi kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu timu hiyo.