Neymar amenyang'anywa unahodha wa timu ya taifa ya Brazil katika michezo ya mwezi ujao ya Copa America na badala yake mchezaji mwenzie wa Paris St-Germain Dani Alves atachukua jukumu hilo.

Mwezi huu, mamlaka za soka nchini Ufaransa zilimfungia mechi tatu Neymar baada ya kumshambulia shabiki wakati PSG ilipopambana na Rennes katika fainali ya Coupe de France.

Pia aliripotiwa kugombana na wachezaji wenzake kwenye chumba cha kubadili nguo amenyang'anywa unahodha wa timu ya taifa ya Brazil katika michezo ya mwezi ujao ya Copa America na badala yake mchezaji mwenzie wa Paris St-Germain Dani Alves atachukua jukumu hilo.

Mwezi huu, mamlaka za soka nchini Ufaransa zilimfungia mechi tatu Neymar baada ya kumshambulia shabiki wakati PSG ilipopambana na Rennes katika fainali ya Coupe de France.

Pia aliripotiwa kugombana na wachezaji wenzake kwenye chumba cha kubadili nguo