Kauli ya Shamsa Ford baada ya kuandika ujumbe unaoashiria kwamba ameachana na mume wake Chidi Mapenzi “Wewe si unajua kusoma Kiswahili na Kingereza?, basi ujumbe umeuelewa”. Bongo5 bado inafanya jitihada za kumtafuta mume wake huyo ili azungumzia sakata hilo. VIDEO: