Msanii wa muziki Bongo, Nandy amegoma kuzungumzia suala la kutofautiana na Hamisa Mobetto hadi kuchuani kwenye mitandao ya kijamii.

Nandy katika mahojiano yake na Times FM amesema kuwa hawezi kuzungumzia suala la Hamisa kwa sababu sio suala lililompeleka hapo.

Inadaiwa kuwa Hamisa alivyotoa nyimbo ya My love na Nandy akaachia nyimbo na Willy Paul ili kuifunika nyimbo ya Hamisa kitu ambacho mpaka sasa Nandy amegoma kukizungumzia, hali hiyo imepelekea mwanamitindo huyo kumunfollow