Msanii wa R&B Marekani, Trey songz ametangza kupata mtoto.

Kupitia mtandao wa Instagram ameweka picha ya mtoto wake wa kiume aliyempa jina la Noah na kuandika “My son Noah. We are blessed and overjoyed. Peace.”