Mtangazaji wa kimataifa wa kituo cha CNN Richard quest ameweka wazi kuwa anafunga ndoa.Tofauti na kupongezwa badhi ya mashabiki wake walishangazwa saana kufaahamu kuwa yupo kwenye mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja.

Hata hivyo mashabiki wengine walionyeshwa kukerwa kwani hawakuwahi tegemea mtu anayewapasha habari kila siku anauhusiano na mwanaume mwenzie.