Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas akimkabidhi jarida la Nchi Yetu Tanzania, Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) anayechezea Klabu ya KRC Genk ya nchini Ubelgiji Mbwana Samatta mara baada ya mazungumzo baina yao katika Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jumanne (Mei 28, 2019) Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, (wa tatu kulia) Dkt. Hassan Abbasi akiwa katika picha ya pamoja na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Mshambuaji wa Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji (katikati) mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo baina yao katika Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO leo Jumanne (Mei 28, 2019) Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, (wa tatu kulia) Dkt. Hassan Abbas akizungumza na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Mshambuliaji wa Timu ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta wakati wa mazungumzo baina yao katika Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jumanne (Mei 28, 2019) Jijini Dar es Salaam.
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Mshambuaji wa Kalbu ya KRC Genk ya Ubelgiji akifafanua jambo ka Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, (wa tatu kulia) Dkt. Hassan Abbas wakati wa mazungumzo baina yao katika Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jumanne (Mei 28, 2019) Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya Samatta Tours, Hamisi Waziri akifafanua jambo kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dkt. Hassan Abbas wakati wa mazungumzo baina yao katika Ofisi za Idara ya Habari (MAELEZO) leo Jumanne (Mei 28, 2019) Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Mbwana Samatta.